KingBet inaendelea kuthibitisha kuwa ushindi ni halisi na zawadi zinatoka, baada ya Abdon Mahimbo, mkazi wa Kigamboni, Dar es Salaam, kuibuka mshindi wa pili katika kampeni ya Butua na AFCON.
Abdon Mahimbo amejishindia simu ya Samsung A07, router ya intaneti, pamoja na TSh 200,000 taslimu ushindi unaoonesha wazi kuwa kampeni za KingBet si maneno bali ni matokeo yanayoonekana.
Kampeni ya Butua na AFCON iliandaliwa sambamba na mashindano ya AFCON, ikiwa na lengo la kuwazawadia wateja waaminifu wa KingBet kwa zawadi zenye thamani na pesa taslimu
KingBet inaendelea kumwaga mizawadi kwa wateja wake kila wiki na sasa kampeni yao inaelekea wiki ya tatu na zamu zawadi itakua ni iphone 17 mbili kitu kwenye Box.
Kushinda ni SIMPO sana 👇
1) Jisajili kupitia 👉 www.kingbet.co.tz
2) Weka PESA kwenye account yako ya KingBet kupitia Airtel Money
3) Tupia mikeka yako ya kila siku yenye angalau mechi moja ya AFCON
Kwa msaada zaidi Tupigie 0222 226 666